Tuesday, July 29, 2014

Selous Game Reserve, Lake Manze - picha za jana 28 July

Mdau Thom wa HSK Safaris ameturushia picha hizi za Sharubu ndani ya pori la akiba la Selous huko Rufiji. Sharubu hawa walikuwa karibu na Ziwa Manze - ambalo linaonekana kwa nyuma kidogo.hakuna sheria iliyovunjwa hapa. Selous ni Pori la akiba na off road driving inaruhusiwa. Kwenye hifadhi za taifa (National park) hili ni kosa na anaebainika hulimwa faini inayoweza fika mpaka $400 kwa kosa hili.

Picha hizi nimetumiwa na Mdau Thonas wa HSK Safaris.
Ziwa linaloonekana kwa mbali ni Ziwa Manze.

No comments:

Post a Comment