Tuesday, February 11, 2014

Taswira Mseto kutoka Porini

 Serengeti National park ndipo Chui huyu alipoonekana akinywa maji kandokando ya barabara.  Hawa Duma nao walikutwa wakiwa wamekamilisha windo lao la pundamilia huko huko Serengeti Ngorongoro Crater aka Shimoni ndio walipokutwa hawa Sharubu watatu wakipiga misele

 Tarangire

Shukran kwa Mdau Assery kwa picha hizi

No comments:

Post a Comment