Monday, January 13, 2014

Dar Es Salaam; Yashika nafasi ya 39/52 ya sehemu 52 zinazofaa kutembelewa 2014

Dar Es Salaam, Tanzania
Ni kwenye orodha ya maeneo 52 iliyochapishwa kwenye tovuti ya NYTimes ya Marekani hivi karibuni. jiji la Dar Es Salaam limeshika nafasi ya 39. Jiji la Cape Town ndio limeibuka kidedea baada ya kushika nafasi ya kwanza. Kwa Africa Mashariki, Laikipia Plateau ya huko +254 ndio imewatimulia vumbi wengine kwa kushika nafasi ya 19.
Bofya hapa kujionea orodha yote.

(picha - Maktaba ya TembeaTz)

No comments:

Post a Comment