Tuesday, December 3, 2013

Usafiri wa Kwenda Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Saanane, Mwanza

Boat ride to saadani NP
Hii ni moja ya boti zinazotumika kuwapeleka wageni kwenye hifadhi ya taifa ya Saa Nane kutoka jiji la Mwanza. Boti hizi huanza safari zake kwenye ofisi ya wahifadhi wa Hifadhi ya Saa Nane iliyopo karibu kabisa na Hoteli ya Tilapia maeneo ya Capri Point Mwanza.Boat ride to saadani NP

No comments:

Post a Comment