Sunday, December 8, 2013

Road Block? Selous Game Reserve

Selous Game Reserve, Tanzania
Alikuwa pembezoni ya barabara kuu inayounganisha geti la Mtemere na la Matambwe. Mdau Thomas wa HSK Safaris alikutana nae huko Selous Sahrubu huyu. alikuwa peke yake na mwenye kuonyesha hali ya udhoofu.Selous Game Reserve, Tanzania

Selous Game Reserve, Tanzania
Huyu nae aliamua kulala njiani kama tuta la TANROADS
Selous Game Reserve, Tanzania
Alipoona shari inakuja kweli akaamua kukimbilia eneo lake la kujidai.
Shukran ya picha kwa mdau Thomas wa HSK Safaris

No comments:

Post a Comment