Tuesday, December 17, 2013

Mdau Akinasa matukio ndani ya Pori.

Rajab - Inside Afrika
Ni Mdau Rajab toka kampuni ya Inside Afrika akikamata taswira ndani ya hifadhi za Taifa hivi karibuni. Baadhi ya taswira zake zimewahi kuifikia Blog ya Tembea Tz kupitia kwa Mdau Bonny wa Arusha. Shukran kwake na kwa Bonny kwa mchango wa taswira zinazoinogesha blog ya Tembea Tz kila mara. hapo alikuwa ni kwenye picnick site ambako mtu anaruhusiwa kushuka kwenye gari na kutembea.

No comments:

Post a Comment