Wednesday, October 16, 2013

Tupogo youtube pia..


Hii ni video ya mwaka 2010 huko Mtemere Selous ambapo nilifanya matembezi ya miguu ndani ya pori la akiba la Selous nikiwa na ranger mmoja (mwenye Silaha) pamoja na guide. Sikiliza mazungumzo yetu na usikie jinsi guide aliyokiri uhada wa Watanzania kwenye baadhi ya shughuli za utalii huko Selous. Sasa hivi hali inaanza kuboreka.

www.youtube.com/tembeatz 

ndio Chanel yetu ya youtube. Jiunge nasi pia na kuona video nyingi zaidi kutoka sehemu mbalimbali
Hii ilipigwa mwaka 2009 tokea kwenye Hot Air Ballon huko kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

No comments:

Post a Comment