Friday, August 9, 2013

Karibu Kibo Hut..

Kama ingekuwa ni safari ya barabara za kawaida huku uraiani, basi ungeweza kukutana na kibao kikiwa kimeandikwa Karibu Kibo hut (kituo cha Kibo). Nyumba unazoziona mbele ni kwa ajili ya wasindikiza wageni wa fanyakazi wa kituo. Nyumba ya kulaza wageni ipo upande wa Kushoto, haionekani kwa kuwa imefichwa na huo mwamba. Unga mweupe unaonekana kwa nyuma ni Theluji iliyoanguka usiku wa kuamkia siku hii ambapo sisi tuliingia hapo.


No comments:

Post a Comment