Thursday, May 2, 2013

Silale Swamp - Tarangire National Park

Silale Swamp Tarangire National Park Tanzania
Ni eneo la ardhi ouevu liliopo kusini mwa hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Ni eneo maarufu kwa kuwa na wanyama wengi kipindi cha kiangazi ambako maeneo mengine huwa yanakuwa kwenye ukame uliokithiri.

Silale Swamp Tarangire National Park Tanzania
Wababe wa Tarangire nao wanapatikana kwa sana Mitaa hii ya Silale Swamp

Silale Swamp Tarangire National Park Tanzania

Silale Swamp Tarangire National Park Tanzania
Bofya hapa kwa kusoma zaidi kuhusu Silale Swamp

No comments:

Post a Comment