Wednesday, May 29, 2013

Karibu Fair 2013 - Maandalizi yanaendelea

Karibu fair 2013 Arusha Tanzania
Ni Picha zilizopigwa leo mchana zikionyesha maendeleo ya maandalizi ya uwanja wa maonyesho ya utalii ya Karibu kwa mwaka 2013. Maonyesho haya yataanza rasmi siku ya Ijumaa wiki hii (31st May 2013) na kufungwa rasmi siku ya Jumapili (2nd June 2013). Yanafanyika kwenye viwanja vya Magereza, nje kidogo ya jiji la Arusha karibu kabisa na uwanja mdogo wa ndege wa Arusha.

Karibu fair 2013 Arusha Tanzania

Karibu fair 2013 Arusha Tanzania

Karibu fair 2013 Arusha Tanzania
Maonyesho ya Karibu huwa ni fursa ya ajira kwa vijana mbalimbali wa jiji la Arusha na maeneo karibu. Hawa ni baadhi ya vijana waliokuwa wakisubiri nafasi zao ili waweze kupangwa kwenye maeneo mbalimbali ya shughuli za maandalizi na hatimae maonyesho yakianza rasmi.

Ulinzi umeshaimarishwa eneo la uwanja wa maonyeshoMdau Sam Diah akiwa kwenye Zero akihakisha kuwa mambo yapo sawa

No comments:

Post a Comment