Monday, April 29, 2013

Wasumbufu wa Manyara NP

Manyara National Park
Ni ukorofi na ubabe wa kuzaliwa ndio ambao huwa unawasumbua hawa jamaa sometimes... Hebu muone huyu wa picha ya juu, hana hitaji na hiyo arial ya Radio call lakini anaing'ata utadhani ni bua na mhindi..

Manyara National Park
Baadae wenzie walimuunga mkono na kuendeleza usumbufu wao. Ukikutana nao inaweza ikakulazimu kufunga roof ya gari (kama ni gari maalum la safari) ili kupusha shari. 

No comments:

Post a Comment