Friday, February 8, 2013

Uwanja wa ndege wa Mikumi NP

Kibanda kwa ajili ya huduma mbalimbali za Abiria kikionekana kwa mbali.. Uwanja huu mdogo wa ndege upo karibu kabisa na lango kuu la Kikoboga ambalo wageni wengi hulitumia kuingilia kwenye hifadhi ya Mikumi.



Njia ya Kutua na kurukia ndege za abiria

No comments:

Post a Comment