Tuesday, February 12, 2013

Picha toka Ngorongoro Crater

Ni Picha zilizopigwa hivi karibuni ndani ya Ngorongoro crater na Mdau Aenea. Juu ni Nyumbu waliopo ndani ya Crater wakiendelea na mishe mishe zao

Ndege ajulikanae kama Kori Bustard
Shukran kwa mdau Aenea wa Tanzania Giraffe Safaris kwa picha hizi

No comments:

Post a Comment