Friday, February 15, 2013

Ni Gari ya wahifadhi

Ni  hiyo Land rover kushoto ikiwa nje ya njia rasmi. ndani ya ngorongoro crater hakuna anayeruhusiwa kuendesha gari nje ya njia rasmi za magari isipokuwa wahifadhi. hawa walikuwa wapo karibu na sharubu ambae magari mengi yalikuwa yanasimama kumuangalia.

No comments:

Post a Comment