Wednesday, February 13, 2013

Mdau Thomas alipokuwa Lobo Wildlife lodge Serengeti Jana


Lobo Wildlife Lodge - Serengeti
Mdau Thomas (kushoto) wa HSK Safaris akiwa sambamba na Mgeni wake baada ya kucheck-inn ktk hotel ya Lobo Wildlife lodge kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti

Lobo Wildlife Lodge - Serengeti
Ndinga inayotumika kwenye safari hii ikiwa kwenye maeneo yake ya kujinafasi kwenye hotel ya Lobo Wildlife Lodge huko Serengeti.

Lobo Wildlife Lodge - Serengeti
Eneo ilipo hotel kuna miamba na majabali mengi ambayo huvutia wanyama wenye kumudu maisha kwenye haya mawe. Picha ni Mnyama ambae kwa kiswahili anaitwa Mbuzi Mawe. Ni Mnyama jamii ya swala ambaye hupendelea kuishi maeneo yenye majabali ya namna hii. kwa kidhungu anaitwa Klipspringer.
Shukran kwa Mdau Thomas wa HSK Safaris kwa taswira hizi.

No comments:

Post a Comment