Monday, February 11, 2013

Machweo Maeneo ya Ndutu; Serengeti National Park weekend

Ni picha zilizopigwa na Mdau Rajab Naroro aliyeopo huko Serengeti kikazi na kutumwa na Mdau Bonny wa Arusha. Picha hizi zimepigwa jioni ya Jumamosi huko ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti maeneo ya Ndutu.No comments:

Post a Comment