Thursday, February 14, 2013

Maasai Giraffe aka Mrefu ndani ya Serengeti NP

 Ni Moja ya picha za hivi karibuni iliyopigwa na mdau Rajab N. alipokuwa hifadhi ya taifa ya Serengeti. Huyu ni aina ya twiga julikanaye kama Maasai Giraffe. Twiga wapo wa aina 3 tofauti ambapo wengine ni Reticulated na Rothschild. Baadhi ya machapisho humtambua Maasai Giraffe kama Kilimanjaro Giraffe. 

Ni aina ya Twiga ambao wanapatikana kwa wingi hapa nyumbani na kwa watani wetu wa jadi. hizo aina nyingine zinapatikana nchi nyingine kwa wingi. Bofya links zilizopo kwenye majina ya twiga hapo juu kujua zaidi kuhusu aina hizi za twiga nilizozitaja.

Ahsante ya picha kwa wadau Rajab N. na Bonny wa Arusha.

No comments:

Post a Comment