Wednesday, February 13, 2013

Kulikuwa na Sharubu wanawinda Twiga - Serengeti NP

Seronera - Serengeti National Park
Ni mitaa ya Seronera ambapo mdau alikuta na hii hali ya wageni kusubiri kwa hamu kuona jinsi ambavyo Sharubu (Simba) kadhaa waliokuwa wakimendea Twiga nje kidogo ya barabara. Hali ambayo ilipelekea magari mengi ya wageni kusitisha mizunguko mingine na kusibiria. Kutokana na kuwahi muda wa kibali, Mdau alilazimika kuchapa mwendo kuwahi gate la Naabi kabla kibali cha Serengeti Hakijaisha muda wake. Hii ilikuwa ni leo mchana.

No comments:

Post a Comment