Friday, December 21, 2012

India Street ya Pangani

Pangani - Lakeland Africa
huko Pangani kama ilivyo maeneo mengine mengi hapa nchini kwetu, kuna mtaa unaitwa India "Street". Ni Moja ya maeneo ambayo ndugu zetu wanaotalii nchi yetu kupitia mpango wa Mtanzania Tembelea Tanzania walioyatembelea huko mjini Pangani siku chache zilizopita. Walipata kuona mambo mbalimbali ya kihistoria na hali ya maisha ilivyo sasa kwenye mji huu wa Kihistoria. Picha hii na nyingi nyinginezo zinapatikana katika ukurasa wa facebook wa kampuni ya Lakeland Africa. Ungana nao upate kujionea mengi mengineyo moja kwa moja na kuweza kujifunza mawili matatu kuhusu nchi yako ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment