Wednesday, September 19, 2012

Melia - Zanzibar

 Melia Zanzibar
Awali hoteli hii ilikuwa chini ya Menejimenti ya Kampuni ya Kempinski ambapo ilijulikana kama Zamani Kempinski. Sasa hivi hoteli hii ipo chini ya Menejimenti ya kampuni nyingine kubwa ktk sekta ya mahoteli ijulikanayo kama Melia. Ipo ktk kisiwa cha Unguja, takribani kilometa 40 tokea Mji Mkongwe. Hoteli ipo eneo lijulikanalo kwa wenyeji kama Pwani mchangani. Ni Eneo lenye mahoteli mengi ya Kitalii huko Kaskazini mashariki ya kisiwa cha Unguja. Sasa hivi inajulikana kama Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Melia Zanzibar

Tembelea Tovuti yao kufahamu mengi zaidi. 
Picha katika mtundiko huu zilipigwa mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka huu.

No comments:

Post a Comment