Friday, June 8, 2012

Ni samani zinazotokana na Mbao za Ngalawa zilizostaafu..

 Mbao za Ngalawa ambazo zimestaafu uvuvi bado zinakuwa na kazi ya kupamba nyumba au hata vyumba vya hoteli. Ni kazi ambayo wadau wa Sanaa Tamu wanaifanya kwa ustadi mkubwa. Wanatengeneza samani za kila namna kwa matumizi mbalimbali. Nao wanashiriki ktk Karibu fair mwaka huu.

No comments:

Post a Comment