Friday, May 18, 2012

Taswira za Arusha ya mwaka 1961

 Mnara wa Saa

 New Arusha Hotel when it was trully New. Hii Hotel ina historia ndefu sana kwenye jiji la Arusha na sekta ya Utalii kwa hapa Tanzania. Kwa wale mliowahi kuangalia movie moja ilifahamika kwa jina la Hatari, Crew iliyoshiriki kutengeza filamu ile ilikaa kwenye hii hoteli mwaka 1962. Ukitembelea Hoteli ya New Arusha hivi sasa kuna sehemu wameweka picha za crew wa film hiyo wakijivinjari kwenye maeneo mbali mbali ya Hotel hiyo. Ni moja ya hoteli kongwe sana hapa Nyumbani ambazo bado zipo kwenye shughuli japo imebadili management mara kadhaa.

Safari Hotel Arusha
Bofya hapa kujionea maeneo mbalimbali ya hapa Tanzania yalivyokuwa miaka ya 60

No comments:

Post a Comment