Friday, April 13, 2012

Ndegere, Selous GRWapo ambao walikuwa wanasinzia na wapo ambao walikuwa wanakamilisha quota yao ya michezo ya siku hii. Unapofika mahali na kukuta kuna kundi la ngedere au nyani jaribu kutenga muda mchache na uwaangalie. utakutana na kitu kitakacho kustaajabisha na kukufurahisha. Hapa kulikuwa na mmoja ambaye aliuchapa usingizi kwenye tawi la mti bila wasi wasi. (picha - Maktaba ya TembeaTz)
Bofya hapa kujionea video nyingine

No comments:

Post a Comment