Tuesday, April 24, 2012

Kutoka Maktaba ya TembeaTz - Ziwa Magadi, Ngorongoro Crater

 Ni ziwa ambalo maji yake ni Alkaline hivyo kuwavutia Flamingo wengi kuja hapo 

 Lipo ndani kabisa ya Ngorongoro crater

Huyu nae alikuwepo pembezoni mwa barabara inayopita karibu na Ziwa Magadi

No comments:

Post a Comment