Tuesday, April 24, 2012

Baloon Flight in Serengeti NP


Moja ya video clips kadhaa unazoweza kuziangalia kwenye youtube channel ta Tembeatz
Unapofanya mpango wa kwenda safari kwenye hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Jaribu pia kuulizia uwezekano wa kufanya balloon Safari ndani ya hifadhi hii. Ni moja ya activity nzuri kufanya ndani ya hifadhi ya Serengeti. Huwa inaanza alfajiri na kumalizika mida ya saa tano asubuhi hivi baada ya kuruka, kutua na kisha kupata kifungua kinywa cha pamoja porini - bush breakfast

No comments:

Post a Comment