Thursday, January 26, 2012

Safari kuelekea Ruaha NP

Mdau Tom alikuwa na safari ya kwenda Ruaha mwezi desemba mwaka jana na hizi ni baadhi ya taswira za safari yake akiwa njiani kuelekea huko. Hii ndio barabara inayomfikisha mgeni Ruaha kutokea Iringa mjini.

Wazee wa porini wanapaita hapa mahali njia panda. Ukinyoosha unaelekea Kijiji cha Tungamalenga na Kulia utakuwa unaelekea kwenye geti la kuingilia kwenye Hifadhi. Huko mbele ya safari barabara hizi zinakutana pia.

2 comments:

 1. Arusha Travel Agency (ATA)


  The best Travel Agency in Arusha
  Arusha Travel Agency, has established as tour and travel agency dealing with inbound tourism to Tanzania. It is a private owned company offering Mountain Trekking Expeditions and wildlife Safaris as its primary tourist package for Tanzania's Circuits.


  Why Travel with Us?

  Arusha Travel Agency, the Adventure Management Company, is a well established company owned and operated by experienced travel professionals.
  ATA managed to combine Africa’s most unique location with our own adventure flair to nurture and develop some practical.........

  ReplyDelete
 2. ABA Hotel
  Welcome to Aba the best Budget Hotel in Heart of Arusha.

  ReplyDelete