Friday, January 13, 2012

Mandhari ya Hippo Camp, Selous GRClip hii ilipigwa mwezi Oktoba mwaka jana wakati maeneo haya yalikuwa yamekumbwa na ukame/Kiangazi. Hali ya kina cha maji kwenye mto Rufiji ilikuwa ni ya chini sana japo sasa nimejulishwa kuwa imeongezeka kidogo.

1 comment:

  1. Kipindi cha kiangazi bado hali ni ya ukijani namna hii, wakati wa masika si ndiyo utukufu wa asili unadhihirika? Asante KK.

    ReplyDelete