Friday, January 20, 2012

Machweo, pembezoni mwa mto Rufiji

Mpiga picha akiwa amesimama eneo la Hippo Camp, Mloka nje kidogo ya pori la akiba la Selous.

Kipindi hicho hali ya kina cha maji kwenye mto Rufiji ilikuwa sio ya kuridhisha kabisa. sehemu kubwa ya mto ilikuwa imekauka na kuacha visiwa vya mchanga.

Wale wadau wa picha za mawio na machweo najua mtundiko huu utakata kiu yao!

2 comments: