Friday, October 14, 2011

Tukutane Kileleni Uhuru 9 Desemba 2011 - Maalum kwa Watanzania

TANZANIA TRAVEL COMPANY LTD
INAWALETEA
"
TUKUTANE KILELENI UHURU 9 DECEMBAR"
SAFARI MAALUM YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA
KUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU
KUPITIA NJIA YA MACHAME - SIKU 7 - DECEMBER 2011

GHARAMA KWA KILA MTU KATIKA SHILINGI ZA KITANZANIA
Watu 2 -3: 2,239,800/=
Watu 4-6: 2,000,040/=
Watu 7-12: 1,829,940/=
watu 13-18: 1,651,740/=
Watu 19: 1,489,360/=
Watu 20+: 1,471,920/=

GHARAMA HIZO ZINAJUMUISHA HUDUMA ZIFUATAZO:

  • Siku 1 malazi mjini Arusha (kwa waishio nje ya Arusha) kabla ya kupanda mlima ( Kitanda na Chai tu)
  • Siku saba mlimani kupitia njia ya machame .
  • Malipo ya hifadhi ya Kilimanjaro ( Kilimanjaro National Park fees).
  • Gharama za kukodisha vifaa mbalimbali kwa ajili ya kupandia mlimani (mavazi ya joto, sleeping bag na fimbo ya kupandia)
  • Mapokezi kutoka uwanja wa ndeke wa arusha,Kilimanjaro au Kituo cha basi cha arusha.
  • Usafiri wa kwenda na kurudi toka mlimani.
  • Chakula cha asubuhi,mchana ,na jioni muda wote utakaokuwa kwenye safari ya kupanda mlima.
  • Ada ya waongoza mlima na wabeba mizigo maalum.

GHARAMA HIZO HAZITAHUSISHA HUDUMA ZIFUATAZO:

  • TransportationUsafiri wa kuja na kutoka arusha.
  • Gharama za ziada wakati wa sherehe ( Kristmasi na Mwaka mpya)
  • Vinywaji.
  • Maji ya kunywa ya chupa siku ya kwanza ya kuondokea Hotelini.
  • Ada za uwanja (Airport taxes) kwa watakaotumia ndege.
  • Vitu vingine vyote vinavyohitajika vya binafsi kama vile huduma ya kufua nguo,vifaa vya maliwatoni (toiletries) na kadhalika.
  • Bima ya kinga binafsi kwa ajili ya kusafiria.
  • Bakshishi/zawadi kwa watoa huduma (Tips)

Wasiliana na Tanzania Travel Company kwa taarifa na ufafanuzi zaidi kupitia;
Tanzania Travel Company
P.O.BOX 10349.
ARUSHA ,TANZANIA , EAST AFRICA.
TEL: +255 027 250 3349
FAX NUMBER: +255 (0)732975474.
MOBILE: + 255 (0)754 294 365.
MOBILE SAM PERSONAL: +255 (0)784294365.
Email General: info@tanzaniatravelcompany.com
Website: www.tanzaniatravelcompany.com

No comments:

Post a Comment