
Hoteli ya
Lake Shore lodge & campsite ipo mkoani Rukwa, ktk wilaya ya Namanyere, eneo lijulikanalo kama Kipili. Anayeenda kwa kwa gari toka Mbeya itamlazimu kufika Sumbawanga mjini. Baada ya hapo atashika njia inayoelekea Namanyere ne mbele ataendelea mpaka kufika Kijiji cha Kipili ambako ndipo ilipo hoteli. Umbali kati ya Sumbawanga mjini na Kipili ni Kama kilometa 140.


Ziwa Tanganyika likionekana kwa mbali. Hapa ni kama mgeni anakuwa ameshafika.
No comments:
Post a Comment