Sunday, September 25, 2011

Udzungwa Forest Tented Camp - Hondo Hondo

Udzungwa Forest Tented Camp borders the Udzungwa Mountains National Park, in the Kilombero valley in southern Tanzania. The lodge is known locally as Hondo Hondo meaning "hornbill" in Swahili, due to the amazing number of these remarkable birds which make the area their home.
Hondo Hondo's lush green grounds are on the border of the pristine rainforest and offer excellent views of the forest canopy. The forest is home to a number of primate species, including the endemic Udzungwa Red Colobus, the remarkable Sanje Crested Mangebey, and the Black and White Colobus. A number of different hornbill species fly in over the forest edge and settle in trees along the borders of the rainforest in large numbers every evening at sunset, and the valley echoes with their distinctive calls.

Hondo Hondo provides a high standard of accommodation and great access to Tanzania's remarkable wildlife and landscapes through co-operation with the local community and provision of excellent facilities. Built by a local workforce and providing employment throughout both the construction and operational phases, the ultimate goal is to increase international awareness of the Udzungwa Mountains National Park, bringing in more visitors to appreciate the remarkable diversity of wildlife here and to contribute to the improvement of local community livelihoods.

(Photographs & Details - www.udzungwaforestcamp.com)

Ngorongoro Crater



bofya hapa kuonoa video nyingine kadhaa zilizopo ktk Youtube channel ya TembeaTz

Paka Adventures wanakuletea Wonders of Tanzania (21 days)


This 21 days package brings you to the wonders of Tanzania including a seven days Kilimanjaro climb, safari in Ngorongoro Crater, Serengeti National Park, Lake Manyara National Park and Tarangire National Park before you end your trip at Zanzibar.

click here for more details

Tarangire National Park



(Picha - maktaba ya Tembea Tanzania Blog)

Auric Air

Ungependa kuwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro tarehe 9 dec 2011?

Siku ambayo Tanzania itakuwa inatimiza miaka 50 ya Uhuru.

Maarifa kuhusu Mlima Kilimanjaro

Ni Kitabu kilichoandikwa na mwandishi Henry Stedman kuhusu mlima Kilimanjaro. Kina mambo mengi ya kukufungua macho kuhusu Mlima huu. Maelezo kuhusu njia mbalimbali za kuupandia sambamba na changamoto za kila njia inayoelekea Uhuru point. Binafsi nilipata fursa ya kujipima uwezo kwa kufanya day trip ya kuupanda mlima mpaka Mandara hut mwezi machi mwaka huu. Nilijifunza mengi ambayo niliyarusha hapa ili kuweza kushear nanyi.
Ni sehemu ya maandalizi ktk changamoto binafsi niliyojiwekea mwaka huu. Kitabu hiki na vingi vinginevyo vinavyohusu vivutio vya utalii hapa nyumbani vinapatikana ktk maduka mbalimbali ya vitabu hapa dar.

Monday, September 19, 2011

Taswira maridhawa...... Arusha

... Taswira huwa na mvuto maridhawa...
Mtundiko huu unakuletea taswira kadhaa zilizopigwa nje kidogo ya jiji la Arusha mapema mwaka huu - baada ya kipindi cha mvua

Kipindi hicho rangi ya kijani ilikuwa kila kona...




Game Walking Safari - Lake Manyara

Mdau Bony alifanya safari ya matembezi pembezoni mwa hifadhi ya ziwa manyara huko Arusha. Mtundiko huu unakuletea baadhi ya taswira ambazo Mdau bonny ame-shear nasi. Picha juu ni kundi la Pundamilia ambalo walikutana nalo wakiwa kwenye matembezi (kwa miguu) pembezoni mwa hifadhi ya Ziwa Manyara.

Warefu wakiacha shughuli zao na kuwasabahi wageni wao - mdau Bonny na wenzie

Msitu unaoonekana bondeni ndipo ilipo hifadhi ya taifa ya Manyara. na hili ndio bonde la ufa. Picha hii ilipigwa kwenye moja ya view points za kuliangalia bonde la ufa.

Makatambuga bado yana chati yake umasaini...
(picha - Bonny Karibu Fair)

Tuesday, September 13, 2011

More on TZ hunting regulations..

• Hunting Season - July 1st to December 31st (starting 2011 the hunting season is extended through March 31)
• Trophy hunting may take place within the hours of daylight during the hunting season, no hunting is allowed at night and no hunting is allowed with artificial light.
• The Tanzanian government strictly controls the minimum number of days for a hunting safari based upon the species being hunted. Above and beyond the government regulations, the hunting outfitter may also impose their own guidelines as to the minimum number of days required to hunt certain species or combination of species.
• A 7 day hunting safari is the minimum allowed and can include up to two Buffalo and the most common plains game species.
• A 14 day hunting safari is the minimum hunt which can include up to two Buffalo, the most common plains game as well as some of Tanzania's less common plains game species.
• A 16 day hunting safari is the minimum number of days if you desired to take a third Buffalo which also allows you to hunt all of the species available on the 14 day hunting safari.
• A 21 day hunting safari is the minimum number of days required to be able to hunt up to three Buffalo, a Lion, an Elephant, the most common plains game as well as some of Tanzania's less common plains game species.
• Lion and Leopard may only be hunted at once if on a 1 x 1 hunting safari, if on a 2x1 hunting safari both clients must share one Lion and one leopard permit.
• Lion must be at least six years of age.
• The minimum legal length for Leopard is 51.2 inches (1.30 meters), measurement taken from the tip of the nose to the base of the tail.
• The minimum legal size of the ivory for an Elephant is not less than 67 inches (1.70 meters) in length or less than 44 pounds (20 kilograms).
• The minimum overall length for Crocodile is 94.50 inches (2.40 meters).
• Hunting from a vehicle is not permitted, though the vehicle can be used to reach the area from where hunting on foot can begin.
• Shooting an animal from a vehicle is not permitted, a person actually needs to be 219 yards (200 meters) away from a vehicle to shoot an animal.
• No animal may be chased or driven by a vehicle.
• Hunting of female, young and/or immature animals is prohibited.
• Hunting is not permitted within 1.25 miles (2 kilometers) of a National Park.
• Hunting is not permitted within 1,100 yards (1 kilometer) of a an airplane landing area.
• Hunting is not permitted within 547 yards (500 meters) of any water place or salt lick with the exception of the following species Hippopotamus, Sitatunga, Waterbuck and Birds

Unajua kwanini safari za uwindaji wa kitalii zinakuwa na kipengele cha muda wa kukaa porini?

Bofya hapa kujua zaidi

The Great Serengeti Migration

Migration ipo ndani ya Serengeti maeneo ya Bologonja, Kleins na Lobo.

Picha na Updates toka kwa mdau Bony wa Karibu Fair Arusha

Safari Marathon - 18th Sept 2011 - Arusha

Monday, September 12, 2011

Sunday, September 11, 2011

TembeaTz blog inatoa pole kwa wote walioathirika na ajali ya meli huko ZNZ

Timu ya TembeaTz imepokea kwa masikitiko taarifa za ajali ya meli ya MV Spice Islander iliyotokea huko Unguja ikiwa njiani kuelekea kisiwani Pemba. Sala zetu ni kwa majeruhi na familia za wote walioathirika kwa namna moja au nyingine kwa ajali hii.
Tunawaombea nguvu na ujasiri wana vikosi na wataalam wote (wa Zanzibar na wale waliotoka Bara) wanaoshiriki ktk zoezi la uokoaji na huduma za kijamii na afya kwa walionusurika.

Mungu azirehemu roho za wote waliotangulia mbele ya haki kutokana na ajali hii - Amen

KK,
kny timu na wadau wa blog ya TembeaTz

Saturday, September 10, 2011

Nje kidogo ya Arusha National park

Mita kadhaa kabla haujalifikia geti la ngongongare ambako ndio mwanzo wa hifadhi ya Arusha kuna makazi ya watu na shule. Jengo unaloliona kwa mbali ni jengo la shule hiyo. Mlima Meru ukionekana kwenye back ground.

Wananchi wakisukuma gozi ktk uwanja uliopo nje kidogo ya hifadhi.Msitu unaouona upo ndani ya hifadhi. Hifadhi ya taifa ya Arusha ndio ambako safari za kupanda mlima Meru huanzia. Safari za Kupanda mlima Meru huanzia geti la Momella. Mlima Meru ni sehemu ya Hifadhi ya taifa ya Arusha.
(Picha na Mdau Bonny wa Karibu Fair Arusha)

A glimpse on Hunting regulations...

  • The hunting season begins on 1st July and ends on 31st December.
  • No animal may be shot from a vehicle or chased or driven by a vehicle.
  • All hunting must be conducted within the hours of daylight (5:30 am–6.30 pm).
Click here for more...

Taswira za Arusha National Park

Nyati sambamba na Pundamilia wakiwa pembeni ya bwawa la maji

Akikosa matawi ya juu, hufuata yaliyo chini...


Mandahri mwanana na tulivu ndani ya hii hifadhi

Kundi la warefu likiwa pembezoni ya ziwa momella dogo ndani ya Arusha National park


Kundi la wanyama likionekana ndani ya Ngurdoto crater iliyopo ndani ya Arusha national Park

Ngurdoto crater, moja ya vivutio mwanan ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha. Picha hii imepigwa tokea kwenye moja ya view point iliyopo ktk kingo za crater hii.
(Picha na Mdau Bonny wa Karibu Fair Arusha)

Sunday, September 4, 2011

Taswira toka Serengeti National Park

ni za mwezi uliopita zilizpogwa na Mdau Tom wa Kima Safaris ktk hifadhi ya Taifa ya Serengeti.



(Picha zote na mdau Tom wa Kima Safaris)

Udzungwa Falls Lodge - Udzungwa MNP

Udzungwa Falls Lodge is a sensational place selectively located in the green rain forests of Udzungwa mountains overlooking the tranquil and extensive village of Msolwa-Ujamaa and Kilombero valley and centrally located within Ruaha National Park (375 Km), Selous Game Resesrve (largest in Africa) and just 45 kilometres from Mikumi National Park.
Set up as an idyllic & romantic weekend escape and a truly magnificent family vacation getaway; with 40 en-suite rooms the lodge has been carefully constructed to cause minimal impact on the surrounding Udzungwa forest which acts as a catchment area for water that is used domestically in the village and for irrigation in the sugarcane plantations.

Visit http://www.udzungwafallslodge.com/ for more details about
location, services (including Conference facilities) and location of the lodge

Wa chini na Windo lake... Serengeti NP

Duma "wa Chini" akiwa na windo lake la swala tomi (Thomson's gazelle) ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti.



wa chini yeye humalizia shughuli yote ardhini. Hana ubavu wa kupandisha windo lake juu ya mti kama afanyavyo wa juu. Ili kukwepa kuporwa windo lake na fisi au simba wa chini hulazimika kula windo lake fasta kabla hajashtukiwa na kuletewa zengwe na hao watajwa. Kutokana na kuwa na mwili mdogo mdogo, wa chini hana ubavu wa kupambana na bwana afya au sharubu.

Uwepo wa pembe kweny kichwa cha swala Tomi huyo kunadhihirisha ya kwamba alikuwa ni swala dume.
Hapo wa chini huyu anaweza hesabika kama kafanya uwindaji ambao unazingatia uhifadhi. ktk ugawaji wa vibali vya kuwinda, mwindaji hupewa kibali cha kuwinda mnyama dume. muwindaji hulazimika kuhakikisha kuwa anawinda mnyama dume kama taratibu zinavyoelekeza. Sababu moja inayopelekea uwepo wa taratibu hii ni kukwepa kuwinda majike ambayo yanalea watoto na kuweka hatarini kikazi cha jamii ile. Au hata kukwepa kuwinda mnyama aliye na uja uzito na kupelekea kuwinda idadi kubwa ya wanyama zaidi ya kibali ulichopewa, ukijumuisha na wale watakaokuwamo tumboni mwa jike. Picha na Mdau Tom wa Kima Safaris