Sunday, August 21, 2011

Mvua haba....

Ukame unaoendelea kuikumba afrika ya mashariki umeendelea kubadili mandhari ya sehemu nyingi zenye vivutio hapa nchini. Mdau Sam wa Tanzania Travel Company alikuwa na safari kuelekea ziwa Natron alipokutana na athari za ukame huu. Baadhi ya maeneo, mito imeelekea kukauka. Picha juu ni eneo la Gelai karibu na mlima Oldonyo Lengai.

Hapa ni kwenye maeneo ya Longido
Picha - Mdau Sam wa Tanzania Travel Company

No comments:

Post a Comment