Monday, June 13, 2011

Overland truck la Kananga

Ni gari maalum kwa ajili ya kubebea wageni wengi kwa safari mbalimbali. Gari hili linamilikiwa na kampuni ya Kananga. Kampuni hii inamiliki magari kadhaa ya namna hii na haya ndio magari yanayotumika na kampuni hii kupelekea wageni wake (ambao wengi huwa wa makundi) porini na sehemu nyinginezo. Wageni wa kampuni hii hulala katika campsite kadhaa zinazomilikiwa na kampuni. Wakati wa safari, gari hizi huwa zinasheheni vitu vyote muhimu kwa safari na wageni inaowabeba.

Hivi ndivyo linavyoonekana kwa ndani

kwa mbele kuna sehemu ya abiria wake kusimama na kuweza kuangalia mbali akiwa 'nje
'
Nikishuka toka kwenye mchuma

No comments:

Post a Comment