Wednesday, June 15, 2011

Ford Ranger nazo zimo....

Tumezoea kuziona Land cruisers, Land rovers au Nissan zikifanyiwa marekebisho na kutumika kama gari za safari za porini. Kwenye maonesho ya Karibu Fair mjini Arusha, kampuni ya Hughes Motors ya mjini Arusha iliweka bayana gari aina ya Ford Ranger iliyofanyiwa marekebisho kwa ajili ya matumizi ya open game drive. Tutegemee kuziona maporini zikipeleka wageni.

No comments:

Post a Comment