Tuesday, May 31, 2011

Udzungwa National Park

Maporomoko ya maji ndani ya hifadhi ya Taifa ya Udzungwa.




Colobus monkey wapo wa kutosha. kama kuna sehemu mgeni ana uhakika wa kuwaona ngedere hawa hapa Tanzania ni kwenye hifadhi ya Taifa ya Udzungwa.

Maporomoko ya maji ya Sanje ni moja ya vivutio vikubwa ktk Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa.

Sio nyoka, ni mti ambao umeota kwenye mti mwingine.

Safari ndani ya hifadhi ya taifa ya Udzungwa hufanywa kwa miguu. Wageni hutembelea maeneo mbalimbali kwa miguu. Picha juu ni eneo la kuegeshea magari yaliyoleta wageni ktk hifadhi ya Udzungwa. Ni hifadhi ambayo ina upekee wa namna yake. Kwa mujibu wa picha hizi, mmoja anaweza kufananisha safari/matembezi ndani ya Hifadhi ya taifa ya Udzungwa kama safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro.

1 comment: