Thursday, April 28, 2011

Kuelekea Maundi crater...

Njia itakayokufikisha Maundi crater inavyoonekana ktk picha ya juu. Sehemu hii ipo baada ya kuvuka daraja dogo.

Kwa mujibu wa guide niliyekuwa nae aliniambia kwa siku ambayo hakuna mvua au mawingu, Kilele cha Mlima Kilimanjaro huonekana vyema tokea hapa.

No comments:

Post a Comment