Friday, February 11, 2011

Taswira Maridhawa - Lagoon ya Ras Kutani

Mwanzoni, inapooanzia karibu na bahari ya hindi

Lagoon upande wa kushoto, bahari ya hindi upande wa kulia. Mvua zikinyesha, kiwango cha maji kwenye lagoon huongezeka na maji ya lagoon huingia baharini. ktk hali ya kawaida, lagoon na bahari (kwa Ras kutani) maji yake hayakutani.

Ukiamua kufanya activity ijulikanayo kama lagoon walk (ukiwa mgeni wa Ras Kutani) utakuna na mandhari kama hizi za lagoon

Upande wa pili wa Lagoon ndipo ilipo Ras Kutan beach resort

Lagoon ikizidi kuchoma ndani - nchi kavu


No comments:

Post a Comment