Wednesday, January 19, 2011

Oldonyo Lengai

Oldonyo Lengai kwa mbali. Nachelea kuuita 'Mlima wa Oldonyo Lengai" kutokana na ukweli ya kwamba oldonyo Lengai ni neno la Kimasai lenye kubeba maana ya Mlima wa Mungu.


Moja ya Ndinga za pori za Kima Safaris ikila pozi njiani kuelekea Oldonyo Lengai.
Picha na Mdau Tom wa Kima Safaris

No comments:

Post a Comment