Wednesday, January 19, 2011

East Africa All Suite Hotel - Arusha

TembeaTz imewahi kuweka kambi ktk hii hotel murua iliyopo jijini Arusha, njia ya zamani ya kuelekea Moshi. Vyumba vyote ktk hotel hii vinafuata mfumo wa Suites, yaani Chumba cha kulala, Sebule, jiko sambamba na bafu/choo. Picha juu ni moja ya majengo ya vyumba ktk hotel hii.
1 comment:

  1. hoteli view nzuri na ndani imedesigniwa vizuri ila AC units zilizoning'inizwa nje zinaharibu show yake.

    ReplyDelete