Tuesday, December 14, 2010

Karibu Fair 2011

Maandalizi ya yale maonyesho makubwa ya utalii yajulikanayo kama Karibu Fair yanasonga mbele kwa ajili ya Maonyesho ya Mwaka 2011. Maonyesho hayo yanapangwa kufanyika 3-5 Juni 2011, Arusha ktk viwanja vya Magereza, Nje kidogo ya jiji la Arusha karibu na uwanja wa ndege wa Arusha. Kwa taarifa zaidi unaweza wasiliana nao kupitia;

KARIBU TRADE FAIR LIMITED
P.O. Box 6162
Arusha
Tanzania
Tel: +255 732 979 498
Fax: +255 732 979 498
Mobile Phone no: +255 788 749550
Email: info@karibufair.com

No comments:

Post a Comment