Tuesday, November 16, 2010

Ni RasKutani...

Wenyeji wa TembeaTz mtakuwa mnakumbuka mtundiko ambao ulikuwa unaomba msaada kwenu kutambua eneo ambapo picha ya juu ilipigwa. Ni mdau mmoja tu ndio alijibu na hata yeye jibu lake lilikuwa ni kama amenyoosha mikono na kukiri hadharani kushindwa. Jibu ni kwamba, picha hiyo ilipigwa Ras Kutani hotel iliyopo eneo lijulikanalo kama gomvu huko kigamboni, kilometa 32 toka Ferry.

Ukitia maguu ktk lango kuu la kuingia eneo la hoteli unakutana na 'bango' hilo likikukaribisha

http://www.selous.com/ras-kutani

1 comment:

  1. Naomba picha zaidi za hii hotel, nimekuwa nikiisikia kwa muda mrefu.

    tembea imenisogeza karibu nayo

    ReplyDelete