Monday, November 15, 2010

Camouflage

Ni uwezo wa mnyama kujipoteza katika mazingira ambayo yanafanana na ngozi yake na kumfanya asionekane kabisa. Moja ya vitu vinavyowapigia chapuo simba kwenye mawindo yao kipindi cha kiangazi ni kwamba rangi ya mazingira hushabihiana na ile ya ngozi yaa. Hii inawapa fursa ya kuwasogelea wanyama wanaotaka kuwakamata kirahisi bila ya kugundulika.

No comments:

Post a Comment