Thursday, October 14, 2010

Tanzania ilishiriki ktk Hunting & Equestrian exhibition huko Abu Dhabi

Maonyesho haya yalifanyika hivi karibuni huko Abu Dhabi ambako Tanzania ilikuwa na banda liliwawelata pamoja TTB na makampuni kadhaa ya utalii ya hapa Tanzania yanayo jishughulisha na uwindaji yalishiriki. Picha juu ni baadhi ya maofisa wa TTB na wadau toka makampuni mengine ye Utalii.

haya ni maonyesho yanayohusu uwindaji na michezo ya Farasi

Wadau wa Kulungu Safaris ktk sehemu yao ndani ya banda la Tanzania.

Tembelea tovuti ya TTB kujua maonyesho mbalimbali ya Utalii ambayo Tanzania inakuwa inashiriki na kupata taarifa za jinsi ya kushiriki.
Ahsante ya picha - Pongo safaris

No comments:

Post a Comment