Tuesday, October 19, 2010

Ni Tanzania.. Tembea Uijue Tanzania yetu...

Ninapo ziangalia picha za barabara ya Mto wa Mbu mpaka Karatu (unapokuwa unapanda/kushuka bonde la Ufa) huwa ninazifananisha na zile barabara ninazoziona ktk kipindi cha Top Gear (Cha BBC) ambazo hutumiwa kufanyia majaribio magari yanayozungumziwa siku hiyo. Tanzania yetu ni kubwa na ina maeneo mengi mazuri na murua ya kuyatembelea. Fanya hima mdau mwisho wa mwaka ujivute walau ktk hifadhi au kivutio kimojawapo ujionee uzuri wake.

1 comment:

  1. Hifanya ya ziwa manyaa inafikika kwa urahisi hasa ukizingatia ipo karibu na mji mdogo- Mto wa mbu ambapo mahitaji muhimu yanapatikana. pia barabara ni nzuri sana

    ReplyDelete