Wednesday, October 27, 2010

Kuelekea Ziwa Momella dogo....

Unakuwa unapita sehemu zenye mwinuko ambako kwa chini unapata kuona mandhari nzuri ya bonde ambapo wanyama wanakuwa wanakula au kupumzika. Ni ndani ya Hifadhi ya taifa ya Arusha, iliyopo kilometa takriban 30 toka Arusha mjini.

Hapo kulikuwa na twiga, Ngiri aka Iko shida.. na swala paa...

Iko shida??...

Picha zote ni toka ktk maktaba ya TembeaTz

No comments:

Post a Comment