Monday, September 6, 2010

Taswira maridhawa, Pori la akiba la Selous

Moja ya Ox-bow lakes zinazotengenezwa na Mto Rufiji ndani ya pori la akiba la Selous.

Reflection ya hiyo miti ktk Maji ndio moja ya vitu vilivyonivutia na kuzing'amua taswira hizi

Picha zote ni kutoka ktk maktaba ya TembeaTz

No comments:

Post a Comment