Ukiwa unafanya boat safari ktk mot Rufiji, ukutapo matundu katika kingo za mto Rufiji basi ufahamu kuwa hivyo ni viota vya ndege. Maeneo ambayo kingo za mto Rufiji zimenyanyuka yanawapa ugumu wanyama ambao hushambuli mayai au vifaranga vya ndege.
Picha zote zimepigwa na mdau wakati wa boat safaris ktk mto Rufiji
No comments:
Post a Comment