Monday, September 20, 2010

Maramboi Tented Camp

Unapokuwa aidha ndani ya bwawa la kuogelea lililopo hapa au hata ukikaa pwembezoni, unakuwa unapata mandhari maridhawa ya eneo hili ambalo lipo katikati ya hifadhi ya Manyara na Tarangire. Maramboi luxury tented campsite ipo mita kadhaa pembezoni mwa ziwa Manyara.

Hii ni njia ambayo inakupeleka lilipo bwawa lenyewe. usiku kunakuwa na taa zinawashwa kukumulikia njiani na ukifika kwenye bwawa utakutana na taa zilizomo kwenye bwawa zikikupa mwangaza.


huu ni upande wa chumba cha kupokelea wageni na sehemu ya kupata maakuli.
bofya hapa kutembelea tovuti ya hoteli hii

No comments:

Post a Comment