Friday, August 6, 2010

Mrefu

Hapa ni karibu kabisa na geti la Ngongongare ktk hifadhi ya Taifa ya Arusha. Kulikuwa warefu kadhaa na huyu mmoja aliamua kuvuka barabara kuwafuata wenzie (hawapo pichani) upande anaoelekea.

No comments:

Post a Comment