Friday, August 6, 2010

Mlima Kilimanjaro toka maeneo ya Hai

picha hii niliipiga nikiwa nje ya Hai club, njia ya kuelekea Sanya juu.

Mlima ukionekana kwa mbali

Hapa niliupiga tokea Stand ya mabasi ya Boma Ng'ombe, Hai.

No comments:

Post a Comment